Kazi ni Kazi I Mwanadada wa umri wa makamo aliyejitosa kwenye sanaa ya ulimbwende Nairobi

  • | KBC Video
    67 views

    Baadhi ya vijana wanaoishi jijini Nairobi wamekumbatia ubunifu ili kukidhi mahitaji yao ya kimsingi. Kwenye makala ya leo ya Kazi ni Kazi, Fredrick Muoki anaungana na Maggy, mwanadada wa umri wa makamo aliyejitosa kwenye sanaa ya ulimbwende jijini Nairobi ili kutafuta riziki.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News