kazi ni kazi: Kwenye makala ya leo ya Kazi ni Kazi, Fredrick Muoki anaungana na Maggy

  • | KBC Video
    5 views

    Baadhi ya vijana wanaoishi mijini wamekumbatia ubunifu ili kukidhi mahitaji yao ya kimsingi. Kwenye makala ya leo ya Kazi ni Kazi, Fredrick Muoki anaungana na Maggy, binti wa umri wa makamo ambaye ameimarika kwenye kazi ya kuwarembesha mabinti Nairobi, hii ikiwa ni mojawapo ya njia za kujitafutia riziki.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive