Kazi Ni Kazi: Martin ni mwana-sanaa mbunifu anayechonga tunu na kutengeneza shanga

  • | KBC Video
    32 views

    Wanasema atafutaye hachoki, akichoka ashapata. Hii ni kauli iliyompa hamasa Martin Ndung’u ambaye ubunifu wake umemwezesha kupata riziki kutokana na sanaa ya uchoraji na utengenezaji shanga. Hayo ni kwenye makala yetu ya kila ijumaa ya Kazi ni Kazi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News