Kazi ni kazi : Titus Mbithi

  • | KBC Video
    14 views

    Katika ulimwengu wa sasa, mitandao ya kijamii inatumiwa na wengi kwa sababu mbali mbali. Hata hivyo, idadi ya vijana wanaotegemea mtandao kukuza biashara zao inaendelea kuongezeka kila uchao. Kwenye makala ya Kazi ni kazi, Fredrick Muoki anamuangazia Titus Mbithi, ambaye ni mfanyibiashara anayetumia mitandao ya kijamii kuboresha biashara yake. Tazama

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive