#Tamrini - 1st April, 2020

  • | KBC Video
    Mwanahabari Timothy kipnusu anamhoji Mhandisi Martin Aluga kuhusu jinsi sekta zote za kiuchumi nchini Kenya zimetikiswa na chamko la Korona (Coronavirus au Covid-19). #KbcChannel1 #News #CoronaVirus #Covid19 #Tamrini