- 31 views
Shirika la utangazaji la Kenya-KBC linashirikiana na serikali na sekta ya kibinafsi kupanua mawimbi ya utangazaji kupitia mfumo wa kidijitali ili kurahisisha upatikanaji wa habari. Mkurugenzi mkuu wa shirika la KBC, Agnes Kalekye amevitaka vituo vya utangazaji kukumbatia ubunifu na kuzingatia maadili kuhakikisha jamii zinajuzwa ipasavyo. Kalekye alisema hayo kwenye ufunguzi wa kongamano kuhusu utangazaji wa siku zijazo lililoandaliwa na wadau wa sekta ya utangazaji wa kidijitali humu nchini ambalo liliwaleta pamoja wataalamu kutoka tasnia ya utangazaji kujadili changamoto na suluhisho kwenye sekta ya utangazaji katika enzi ya sasa ya kidijitali.
Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive
KBC kushirikiana na serikali pamoja na sekta ya kibinafsi
- 21 Jun 2025 - Friday, June 20, marked World Refugee Day. The occasion sought to celebrate and honour refugees from around the world, and draw attention to both their life struggles and successes.
- 21 Jun 2025 - Police officers in Garissa have arrested four suspects and rescued two children who were reportedly abducted while on their way to Islamic lessons.
- 21 Jun 2025 - President William Ruto has delivered a strong message to his critics, while at the same time calling for national unity and defending his administration's work.
- 21 Jun 2025 - He said the fraudster asked for Sh20,500 but he was sent Sh200,500 by mistake.
- 21 Jun 2025 - The President, who was flanked by Deputy President Kithure Kindiki, pointed out that those engaging in propaganda will not derail his development agenda, saying those who had no plans were free to engage in rhetoric. The post No amount of threats,…
- 21 Jun 2025 - Linda Jamii Package under SHA took over from Linda Mama which was under the defunct NHIF.
- 21 Jun 2025 - The policy aims to streamline human resource management within the Ministry of Defence.
- 21 Jun 2025 - Jonah Kariuki, father of Boniface Kariuki who was shot at close range by a police officer during Tuesday's demonstrations in Nairobi, has revealed how he was conned Ksh.200,000 by scammers who promised to settle his son's hospital bill.
- 21 Jun 2025 - Gachagua has since accused the government of sending the goons to disrupt his rally.
- 21 Jun 2025 - Nullified sections threatened to undermine the independence of public benefit organizations.