KCB na Nakuru kupambana katika raundi ya tano ya Raga 2024/2025

  • | NTV Video
    24 views

    Mabingwa mara 8 na vinara wa kombe la Kenya katika raga ya wachezaji 15 kila upande KCB watapambana na Nakuru hapo kesho uwanjani KCB Sports Club Ruaraka, kwenye mechi ya raundi ya tano ya msimu huu wa mwaka 2024/2025.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya