KCSE 2024: Shule za wasichana zafanya vyema kuliko za wavulana katika kaunti ya Makueni

  • | Citizen TV
    600 views

    Shule mbili za kitaifa zilizoko kaunti ya makueni ile ya wasichana ya Mbooni girls na shule ya wavulana ya Makueni Boys zimezipiku shule zengine kwenye kaunti hiyo huku shule za wasichana zikionekana kufanya vyema zaidi ikilinganishwa na zile za wavulana katika mtihani wa kcse 2024.