KEBS yasema mbole ya ruzuku ni ghushi

  • | Citizen TV
    60 views

    Shirika la kutathimini ubora wa bidhaa nchini KEBS limetwaa magunia elfu 5,840 ya mbolea aina ya BL-GPC kutoka kwa soko nchini. Kwa mujibu wa mkurugenzi mkuu wa KEBs, Esther Ngari , kampuni hiyo ilitumia leseni Yao visivyo kwa kuuza mbolea hiyo kupigia kwa shirika la nafaka nchini NCPB. Akizungumza mbele ya kamati ya bunge la kitaifa kuhusu kilimo, Ngari amesema kampuni ya SBL innovate limited iliomba ruhusa ya kutengeza mbolea hiyo January mwaka Jana, na japo ilipewa leseni, uchunguzi uliofanyiwa bidhaa hiyo January mwaka huu ulionyesha kuwa mbolea inayouzwa sio Ile iliyohalalishwa