Skip to main content
Skip to main content

KEMRI yatoa vifaa vya kinga dhidi ya ebola Busia

  • | Citizen TV
    541 views
    Duration: 1:52
    Taasisi ya utafiti wa matibabu ya KEMRI yatoa vifaa vya kujilinda ili kukabili msambao wa virusi hatari vya Ebola katika kaunti ya mpakani ya Busia, juhudi zaidi zawekwa kukabili hatari inayokodolea wakazi macho katika njia za vichochoro za kuingia na kutoka Uganda.