KEMSA yatakiwa kufafanua malipo ya shilingi bilioni 2.5 wakati wa Covid

  • | KBC Video
    24 views

    Kamati ya bunge kuhusu uwekezaji wa umma imeagiza halmashauri ya usambazaji wa dawa na vifaa vya matibabu KEMSA, kuwasilisha rekodi za malipo na nyaraka kuhusu malipo ambayo hayakuidhinishwa ya shilingi bilioni 2.5 wakati wa janga la COVID mnamo mwaka wa 2020/2021. Huku KEMSA ikisisitiza kwamba pesa hizo hazikulipwa kwa wasambazaji, wabunge walitaka kufahamu ni kwa nini mkaguzi mkuu wa hesabu alitilia shaka matumizi ya fedha hizo kwenye rekodi za malipo akiashiria ukosefu wa risiti.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive