- 2,072 viewsDuration: 1:38Mamlaka ya ujenzi wa Barabara Kuu Nchini KENHA imefanya kikao cha Umma kueleza ujenzi wa daraja jipya la Nithi, pamoja na upanuzi wa barabara hiyo. Kulingana na Mhandisi Michael Wangala Naibu mkurugenzi wa KeNHA, Daraja la Nithi litakuwa na urefu wa Mita 880, na pia barabara itajengwa upya ya urefu wa Kilomita 2.7. ujenzi wa daraja hilo itachukua muda wa miaka miwili.