Skip to main content
Skip to main content

KENHA imefunga Barabara ya Marigat-Chemolingot

  • | Citizen TV
    513 views
    Duration: 52s
    Kufuatia taarifa iliyoangaziwa na runinga ya citizen kuhusu kuzama wa barabara ya Marigat kuelekea Chemolingot na Loruk, mamlaka ya barabara kuu - kenha imechukua hatua na kufunga barabara hiyo.