KENHA yaweka matuta kwenye barabara kuu ya Namanga-Nairobi kuzuia ajali zaidi

  • | NTV Video
    230 views

    Baada ya vifo vya watu 13 kwa kipindi cha mwezi mmoja katika sehemu hatari ya bara bara kuu ya Namanga-Nairobi eneo la Korompoi hatimaye mamlaka ya usimamizi wa bara bara kuu KENHA imeweka matuta ya bara bara kuzuia ajali zaidi.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya