Skip to main content
Skip to main content

Kenya Airways yaanza safari za kurejesha Wakenya waliokwama Dubai

  • | Citizen TV
    12,910 views
    Duration: 3:24
    Kenya sasa imeanza kukadiria hasara ya mamilioni ya fedha kufuatia vita vya Israel na Marekani dhidi ya Iran. Wafanyibiashara wanaosafirisha nje maua, nyama na majani chai wamepata hasara ya mamilioni ya pesa katika kipindi cha siku sita ambazo vita hivyo vimekuwa vikiendelea. Shirika la ndege nchini Kenya airways, limetangaza usafiri wa kwanza wa ndege maalum leo jioni kuwarejesha nyumbani wakenya ambao wamekwama Dubai