Kenya bado inachangamoto za kibiashara na Japan

  • | Citizen TV
    261 views

    Biashara kati ya Kenya na Japan imeimarika kwa kiasi kikubwa katika kipindi cha chini ya miaka kumi, lakini Kenya ina upungufu wa biashara na Japan.