Skip to main content
Skip to main content

Kenya iko njiani kujitosheleza kwa sukari kufuatia ukodishaji wa viwanda vinne

  • | Citizen TV
    563 views
    Duration: 2:23
    Bodi ya sukari Nchini sasa imesema Kenya iko katika mkondo wa kujitosheleza katika mahitaji yake ya sukari, baada vya ukodeshaji wa viwanda vinne vya sukari. Wakulima wa miwa wameelezea matumaini yao katika sekta hiyo huku wakitaka mfumo wa malipo ya miwa kubadilishwa. Haya yanajiri huku ikisalia mwezi mmoja kabla ya ushuru uliokuwa umeondolewa wa uagizaji wa sukari chini ya COMESA kurejelewa