Kenya ilishinda dhahabu sita mjini Belgrade

  • | Citizen TV
    717 views

    Timu ya taifa ya mbio za nyika imewasili nyumbani Jumatatu alasiri baada ya kumaliza nafasi ya kwanza kwenye mashindano ya dunia ya mbio za nyika mjini Belgrade, nchini Serbia.