Kenya imekumbwa na uhaba mkubwa wa damu

  • | KBC Video
    5 views

    Kenya imekumbwa na uhaba mkubwa wa damu na kwa sasa inaweza kukidhia asilimia 20 ya mahitaji ya damu humu nchini. Shirika la kitaifa la utoaji damu limetoa wito kwa Wakenya kujitokeza kutoa damu. Shirika hilo litaanda mkutano mwezi huu ili kuangazia sera na sheria za udhibiti utoaji damu humu nchini.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #damu #afya #nchini