Kenya imerekodi visa vitano vya ugonjwa wa Mpox

  • | NTV Video
    118 views

    Kenya imefika kwenye maambukizi ya jamii ya ugonjwa wa Mpox. Wizara ya afya imesema huku wahudumu wa afya katika kaunti ya Nakuru wakitishia kugoma kutokana na ukosefu wa mafunzo ya kukabiliana na ugonjwa huo. Hata hivyo wizara ya afya inasema hakuna visa vya mpox vilivyoripotiwa nchini kwa saa ishirini na nne zilizopita ila Kenya imrekodi visa vitano vya ugonjwa huo kwa jumla.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya