Kenya imewasilisha rasmi uteuzi wa Raila Odinga kuwania uenyekiti wa AUC

  • | TV 47
    309 views

    Serikali ya Rais William Ruto hatimaye imewasilisha rasmi uteuzi wa waziri mkuu wa zamani Raila Odinga kugombea uenyekiti wa tume ya umoja wa afrika (AUC) katika uchaguzi unaotarajiwa kufanyika Februari 2025. Kwa mujibu wa taarifa kutoka kwa katibu katika wizara ya mambo ya nje Korir Singo'ei, wizara hiyo imewasilisha stakabadhi zilizohitajika kwa mkuu wa ukanda wa Afrika mashariki.

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __