Kenya inajianda kumkaribisha mfalme Charles wa tatu wa Uingereza wiki hii

  • | KBC Video
    44 views

    Mfalme na Malkia wa Uingereza wanarajiwa kuzuru taifa hili wiki hii. Mfalme Charles wa tatu kugusia maswala ambayo makao ya kifalme ya Buckingham yametaja kuwa maovu yaliyoshuhudiwa wakati wa ukoloni wa Uingereza humu nchini. Na huku taifa likijitayarisha kuwalaki, matakwa ya msamaha kwa umma kutokana na ukatili uliofanywa wakati wa utawala wa kikoloni na mengine yaliyofanywa na wanajeshi na makampuni ya Uingereza yameanza kuchipuka. John Jacob Kioira ana maelezo zaidi kuhusu ziara hiyo rasmi ya kwanza ya mfalme huyo katika nchi hii ya jumuiya ya madola tangu atawazwe kuwa mfalme.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #kingcharles #kbclive