Kenya inajiandaa kuwakaribisha wajumbe zaidi ya 6,500 wakati wa Magical Kenya Travel Expo

  • | NTV Video
    42 views

    Kenya inajiandaa kuwakaribisha wajumbe zaidi ya 6,500 kutoka nchi 40 wakati wa maonesho ya 15 ya utalii ya Magical Kenya Travel Expo, yatakayofanyika kuanzia tarehe 1 hadi 3 oktoba 2025 katika bustani za uhuru.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya