Kenya inakusudia kuhamisha faru ishirini na mmoja kutoka hifadhi mbalimbali za kitaifa

  • | K24 Video
    69 views

    Kenya inakusudia kuhamisha faru ishirini na mmoja kutoka hifadhi mbalimbali za kitaifa hadi hifadhi ya faru ya Loisaba, hili likiwa ndio jaribio la kusafirisha idadi kubwa zaidi ya faru kwa zaidi ya miaka ishirini. Kulingana na waziri wa utalii alfred mutua juhudi za uhifadhi zimepelekea ongezeko la idadi ya faru, na Kenya sasa imefikia idadi ya faru elfu mmoja baada ya zaidi ya miaka hamsin