Kenya inatazamiwa kuadhimisha miaka 60 ya uhuru huku umaskini ukiendelea kukithiri

  • | TV 47
    16 views

    Saa chache kutoka sasa, kenya itaadhimisha miaka 60 ya uhuru. Kulingana na wale tuliozungumza nao katika taarifa hii ya grace kuria kanja, wanatueleza kuwa, katika mwaka huo wa 1963 ambao kenya ilijinyakulia uhuru ulileta matumaini kwa wengi, haswa matarajio ya ukombozi, wakati ambao uliletea taifa fahari kubwa.ahadi zilitolewa, hatimaye zilionekana kuwa na mwanga, lakini je, zilitimizwa? Hasa katika kuondoa umaskini nchini? Hebu tuangazie taarifa hii __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __