KENYA KUANZA ZOEZI LA UTOAJI CHANJO ZA COVID 19

  • | VOA Swahili
    Rais Uhuru Kenyatta hivi leo amezindua zoezi la usafirishaji chanjo kuelekea katika maghala ya kaunti mbali mbali nchini Kenya wakati zoezi la kutoa chanjo linatarajiwa kuanza kesho. #DL #VOA