Skip to main content
Skip to main content

Kenya kuchunguza Tokio la Mrusi dhidi ya wanawake

  • | BBC Swahili
    5,729 views
    Duration: 1:45
    Serikali ya Kenya imeagiza vyombo vya usalama na uchunguzi kuchunguza haraka tukio ambalo raia wa Urusi anadaiwa kurekodi kwa siri na kusambaza picha za wanawake wa Kenya bila idhini yao. Lakini waathiriwa wana nafasi gani kisheria kupata haki? @peter_mwangangi ataeleza kwa kina katika Dira ya Dunia TV leo saa tatu usiku kupitia ukurasa wetu wa YouTube wa BBC Swahili. #bbcswahili #kenya #tiktokkenya Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw