Kenya kuwafunza wanajeshi DRC

  • | Citizen TV
    2,692 views

    Waziri wa ulinzi Aden Duale juma lililopita aliongoza ujumbe wa kenya kwa ziara ya kutathmini shughuli za kijeshi katika Jamhuri ya Kidemokresi ya Congo. Kwenye ziara yake, Waziri Duale alimudu kutembea kambi kadhaa za kijeshi na hata kutia saini mkataba na mwenzake wa Congo Jean - Pierre Bemba unaowawezesha wanajeshi wa Kenya kuwapa mafunzio wenzao wa taifa hilo la DRC. Mwandishi wetu Martin Munene alikuwa DRC na hii hapa taarifa yake.