- 1,272 viewsDuration: 1:34Viongozi wanaoegemea upande wa serikali wakiongozwa na spika wa bunge la kitaifa Moses wetang'ula wamewasuta wenzao wa upinzani wakisema wanawapotosha wakenya kupitia siasa za kugawanya. Wakizungumza kaunti ya Vihiga, wanasiasa hawa waliwataka wakenya kuwapuuza wenzao wa upinzani wakisema hawana ajenda na mpango kamili kwa wakenya.