Kenya miongoni mwa mataifa 9 yatakayo anza kutumia sindano mpya ya HIV

  • | Citizen TV
    8,190 views

    Wakenya walio kwenye hatari ya kuambukizwa virusi vya HIV huenda wakaanza kupokea shindano mpya ya kudhibiti maambukizi kufikia januari mwakani. Hii ni baada ya shirika la afya ulimwenguni W.H.O kuidhinisha sindano hiyo mpya ambapo kenya ni kati ya mataifa 9 yatakayoanza kuitumia kwanza.