Kenya na Angola zatia saini jumla ya mikataba 11 kwenye sekta za biashara, utalii, kilimo na kawi

  • | Citizen TV
    581 views

    Kenya na Angola zimetia saini jumla ya mikataba 11 kwenye sekta za biashara, utalii, kilimo na kawi. Aidha, rais William Ruto na João Lourenço (ZHOWAO LORENSO)wa Angola wameahidi kuleta amani katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kupitia mazungumzo ya kidiplomasia jijini Nairobi na Luanda.