Kenya na China zaendeleza uhusiano mwema wa kidiplomasia

  • | Citizen TV
    897 views

    Kenya na China zimeendeleza uhusiano wao wa kidiplomasia na kijeshi wakati China inapoadhimisha miaka 98 tangu kuanzishwa kwa Jeshi la Ukombozi la Wananchi wa China, maarufu kama PLA.