Kenya na Djibouti zaafikiana kubuni baraza la biashara kufanikisha uwekezaji kati ya nchi hizo mbili

  • | KBC Video
    20 views

    Rais William Ruto ametoa changamoto kwa nchi za bara Afrika kushinikiza kurekebishwa kwa mfumo wa sasa wa kimataifa wa ufadhili,akisema unanyanyasa nchi za Afrika.Rais ambaye alikuwa akihutubia bunge la Djibouti,alisema inasikitishwa kwamba bara la Afrika limeorodheshwa kuwa miongoni mwa maeneo hatari ya kuwekeza kwa misingi mbali mbali.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channell: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #rutonewstoday