Kenya na Ethiopia zatia saini mikataba kadhaa inayotarajiwa kuimarisha uhusiano

  • | KBC Video
    65 views

    Kenya na Ethiopia zimetia saini mikataba kadhaa ambayo itaimarisha uhusiano baina ya nchi hizo mbili. Kenya na Ethiopia zitashirikiana katika nyanja za biashara na uwekezaji, kilimo, uvuvi. uchukuzi, teknolojia ya mawasiliano, utalii, afya, utamaduni na uhifadhi wa misitu, mbali na kuwa mstari wa mbele katika kuhakikisha amani na uthabiti katika eneo la upembe wa Afrika. Mikataba hiyo ilisainiwa wakati wa mapokezi ya waziri mkuu wa Ethiopia humu nchini, Abiy Ahmed na mwalishi wake rais William Ruto katika ikulu ya Nairobi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive