- 19,988 viewsDuration: 28:10Serikali ya Kenya imesema inachunguza matukio yanayomhusu mwanaume mmoja raia wa Urusi anayeshutumiwa kwa kurekodi matukio yake ya kimapenzi na wanawake kadhaa, na kisha kuweka video hizo mtandaoni bila wao kuridhia. Waziri wa jinsia Hanna Cheptumo ametaja tukio hilo kama la kufedhesha na ukiukwaji mkubwa wa usiri na haki ambazo zimelindwa kisheria. #Kenya #bbcswahili #bbcswahilileo #Urusi #Videozasiri Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw