Kenya na Ghana kushirikiana kwenye kilimo, biashara, uchukuzi

  • | Citizen TV
    378 views

    Mkuu wa mawaziri ambaye pia ni waziri wa masuala ya kigeni Musalia Mudavadi amesema kuwa ziara ya siku tatu ya Rais William Ruto nchini Ghana inalenga kuimarisha ushirikiano kati ya mataifa hayo mawili