Kenya na Iran zaahidi kudumisha uhusiano

  • | KBC Video
    24 views

    Kenya na Iran zinanuia kuimarisha uhusiano wa kitamaduni uliopo baina ya mataifa hayo kwa manufaa ya raia wa nchi hizo mbili. Akiongea wakati wa maadhimisho ya miaka 35 tangu kifo cha Imam Khomeini, balozi wa Iran nchini Kenya Dr Ali Gholampour alisema sherehe kama hizo ni nguzo muhimu ya kupanua ushirikiano baina ya mataifa hayo mawili ili huo kujumisha sekta nyinginezo ikiwemo biashara.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive