Kenya na Saudi Arabia kuimarisha ushirikiano wao wa kibalozi

  • | KBC Video
    94 views

    Balozi wa Saudi Arabia nchini Kenya Khalid Abdullah Al- Salman amesema taifa hilo litaendelea kuboresha uhusiano wa kibiashara na kenya katika nyanja mbalimbali kwa manufaa ya mataifa hayo mawili. Akizungumza wakati wa maadhimisho ya siku kuu ya taifa hilo, Al- Salman alisema mataifa hayo mawili yamejitolea kukuza uhusiano wa kisiasa na kiuchumi kwa manudfaa ya ustawi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #saudiarabia #KenyaSaudiArabia