Kenya na Uganda zaanzisha ushirikiano wa kuboresha utalii

  • | Citizen TV
    264 views

    Sekta ya utalii inaendelea kuimarika kati ya mataifa ya Kenya na Uganda baada ya kuanzishwa kwa ushirikiano wa kuboresha utalii baina ya nchi hizi mbili mwaka wa 2022.