- 187 viewsDuration: 1:13Masaibu ya mabingwa watetezi wa Ligi Kuu ya Kandanda Kenya Police yanazidi kuongezeka baada ya kulimwa mabao 2-0 na timu ya Posta Rangers. Posta ilifunga bao moja katika kila kipindi na kupata ushindi muhimu katika uwanja wa Kasarani Annex.