Kenya: Serikali yawaomba marubani wa ndege waliogoma kurudi kazini

  • | VOA Swahili
    185 views
    Mgomo wa marubani wa Shirika la Ndege la Kenya Airways lasabibisha kukwama kwa mamia ya safari na bidhaa za kilimo kutoweza kusafirishwa ikiwa ni adha kubwa kwa wafanyabiashara mazao yao kuharibika ambao wanasema mgomo huu utawakosesha pia fursa ya kuendelea kufanya biashara na mataifa ya nje. Kwa upande wa serikali ya Kenya Waziri wa Kilimo amewaomba marubani hao kusitisha mgomo kwa maslahi ya taifa. Hii hapa ni habari kamili... - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.