Kenya Simbas, yaendeleza mazoezi kwa maandalizi ya kombe la Raga la Afrika 2025

  • | NTV Video
    78 views

    Timu ya taifa ya raga ya wachezaji 15 kila upande Kenya Simbas, inaendeleza mazoezi yake katika uwanja wa mchezo wa raga wa Kakamega Show Grounds mjini Kakamega kwa maandalizi ya kombe la Raga la Afrika 2025.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya