Kenya: Wanaharakati wa linda ugatuzi wakihamasisha marekebisho ya Katiba

  • | VOA Swahili
    71 views
    Wanaharakati wa vuguvugu la operesheni linda ugatuzi mjini Mombasa, Kenya, wakiandamana kuhamasisha wananchi kuunga mkono shinikizo lao la katiba ya nchi hiyo kurekebishwa. Ungana na mwandishi wetu kwa ripoti kamili... #wanaharakati #vuguvugu #operesheni #ugatuzi #mombasa #kenya #uhamasishaji #wananchi #voa #voaswahili #dunianileo - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.