Kenya yaadhimisha siku ya maji duniani ikikabiliana na changamoto za uchafuzi wa mito | VOA Swahili

  • | VOA Swahili
    160 views
    Kenya kama mataifa mengi barani Afrika inakabiliwa na changamoto ya uchafuzi wa mito kutokana na shughuli za kibinadamu ambazo zimepelekea mito kukauka. Hali hii imesababisha madhara makubwa siyo tu kwenye uchumi wa maeneo husika bali pia usalama wa chakula. #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.