Kenya yaafikiana na Ufaransa kuweka mikakati ya kudhibiti visa vya moto misituni

  • | KBC Video
    16 views

    Shirika la kuhifadhi misitu-KFS linashirikiana na serikali ya Ufaransa kudhibiti visa vya moto kwenye misitu humu nchini. Ushirikiano huo unahusisha ruzuku ya shilingi bilioni-2.7 kuwezesha shirika hilo kununua vifaa vya kisasa na pia kukuza nyenzo za kukabiliana na visa vya moto. Katika kipindi cha mwaka mmoja uliopita, visa 180 vya moto vimeripotiwa huku hekta-780 za misitu zikiharibiwa.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channell: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #kfs #darubini