Kenya yafunga kambi ya Maasai Mara iliyokuwa inazuia nyumbu kurudi Serengeti DIRA YA DUNIA 18/09/20

  • | BBC Swahili
    Maziko ya wanafunzi 10 walioungua shuleni yameanza na huko Kenya, Mamlaka inayosimamia mazingira NEMA, imetangaza kufunga kambi moja ya kitalii ambayo wafanya kazi wake walipigwa picha wakizuia nyumbu kuvuka mto Mara #Tanzania #MaasaiMara #Nyumbu