Kenya yajiunga na mataifa mengine duniani kuadhimisha siku ya Ukimwi duniani

  • | Citizen TV
    309 views

    Ulimwengu leo unaadhimisha siku ya ukimwi duniani huku takriban vijana 60 watapashwa tohara Jumamosi hii katika kanisa katoliki la majengo mjini Eldoret. Juhudi hizi zikifanywa pia kwa lengo la kuzuia maambukizi ya virusi vya HIV miongoni mwa vijana