Kenya yajiunga na mataifa mengine ulimwenguni kuadhimisha siku ya maji

  • | K24 Video
    33 views

    Kenya imejiunga na mataifa mengine ulimwenguni kuadhimisha siku ya maji, ambayo hufanyika kila mwaka. Hilo linafanyika huku ripoti ya mamlaka ya kukabiliana na majanga ikionyesha kuwa zaidi ya wakenya milioni 2 kutoka maeneo kame hawana maji wala vyakula vya kutosha