Kenya yakabiliwa na mfumuko wa bei za bidhaa muhimu

  • | VOA Swahili
    576 views
    Kenya kama mataifa mengine ya Afrika inategemea mafuta ya petroli na dizeli kutoka mataifa ya nje, ikiwemo Russia na nchi za Kiarabu. Ungana na mwandishi wetu akikuletea sababu kuu zilizopelekea kupanda kwa bei ya mafuta yanayotegemewa kuendeleza uchumi wa Kenya na vipi imeathiri hali ya uchumi wa nchi hiyo. Endelea kusikiliza... #kenya #mataifa #afrika #mafuta #dizeli #petroli #russia #nchizakiarabu #voa #mfumukowabei #bei #bidhaa #voaswahili #dunianileo - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.