Kenya yalazimika kuwa taifa la kuomba omba kutokana na vitendo vya bunge

  • | K24 Video
    19 views

    Kenya haiwezi kujiendesha bila ya kukopa. Kenya sasa limelazimika kuwa taifa la kuomba omba kutokana na vitendo vya bunge. sera na sheria zinazopitishwa bungeni hazisaidii kudhibiti deni la taifa bali zinafanya hali kuwa mbaya zaidi.Kulingana na wanauchumi, bunge linatakiwa lidhibiti mchakato wake wa uandaaji wa bajeti kwani maamuzi yaliyopita yamefanya wakenya watafute majukwaa mbadala ya kuchukua mikopo.